Huzuni Katika Nyimbo Za Taarab Za Waimbaji Bi Fatma Issa Na Shakila Said

  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0006
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 87 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 224
  • Report This work

For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

SHUKURANI

Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunijaalia uzima na afya njema katika kipindi chote cha kukamilisha utafiti huu. Pili, ninamshukuru msimamizi wa utafiti huu, Dkt Muhammed Seif Khatib ambaye alikuwa mwongozaji wa kazi hii na alifanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa utafiti huu unamalizika katika hali ya ubora zaidi. Mwenyezi Mungu amlipe ujira mwema, Amina. Aidha, nawashukuru walimu wangu wote walionifundisha kozi za Fasihi ya Kiswahili ambao kwa kiasi kikubwa waliweza kupanua uelewa wangu ulionisaidia kukamilisha utafiti. Tatu, nawashukuru wazazi wangu Bi Fatma Almasi na Bwana Omar Rashid ambao mbali na kunileya na kunipatia elimu, walifanya kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa namaliza masomo yangu kwa mafanikio mkubwa. Mwenyezi Mungu awape umri mrefu na wenye afya njema katika maisha yao. Vilevile ninawashukuru ndugu zangu Rukaiyya Omar, Tauhida Omar na Ali Omar kwa kuonesha upendo wao wa dhati kwangu na kumlea mtoto wangu katika misingi bora wakati nikiwa masomoni. Nitakuwa mwizi wa fadhila iwapo sikumshukuru mume wangu mpenzi Bwana Mbarouk Nassor kwa kunivumilia pale nilipomwacha na upweke lakini bado kaendelea kunidhihirishia upendo wake kwangu katika kipindi hicho kigumu. Nne, ninawashukuru walimu na wanafunzi wenzangu, Mabwana Kassim Simai, Makame Pandu, Khamis Saleh, pamoja na Mabibi Zuleikha Abdallah, Bushura Khamis na Salama Omar kwa mashirikiano na kubadilishana mawazo juu ya tafiti zetu. 

Huzuni Katika Nyimbo Za Taarab Za Waimbaji Bi Fatma Issa Na Shakila Said
For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

Share This
  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0006
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 87 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 224

500
Leave a comment...

    Related Works

    SHUKURANI  Kwanza ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima wa afya katika kipindi chote cha masomo yangu hadi kuikamilisha tasinifu hii katika muda uliopangwa. Pia ninawashukuru wale wote walioshirikiana na mimi mwanzo hadi mwisho wa tasinifu hii. Kwa uchache ninapenda kuwapa shukurani zangu za dhati kwa kuwataja hawa wafuatao; Kwanza,... Continue Reading
    SHUKURANI Shukurani zangu ninawapa wafuatao nikiwataja kwa makundi: Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kunijaalia afya njema, maarifa, busara na hekima ambavyo nilivitumia kama nyenzo kubwa tangu kuanza hadi kumalizika kwa utafiti huu. Pili, kwa mama na baba yangu, kwa malezi yao bora waliyonipatia. Pia mume wangu, Bw. Salum Mohamed Gumukah, na... Continue Reading
    SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji... Continue Reading
    SHUKURANI  Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa taasisi na watu mbalimbali waliotoa ushauri na michango yao ya hali na mali iliyowezesha kukamilisha kazi hii. Awali ya yote, napenda kutoa shukurani zangu za dhati kumshukuru Mwenyezi-Mungu (sw) kwa kunijaalia afya njema katika kipindi chote cha masomo yangu. Afya ambayo iliniwezesha... Continue Reading
    SHUKRANI Shukrani za awali ziende kwa Mwenyezi Mungu, muumba wa viumbe vyote, kwa kunisaidia kwa uwezo wake mkubwa kunilinda na kunipa afya katika kipindi chote cha kufanya utafiti huu mpaka ukakamilika. Shukrani nyingine ni kwa msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt. Muhammed Seif Khatib kwa kuniongoza, kunishauri na kunipa changamoto mbalimbali za... Continue Reading
    SHUKRANI Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili.... Continue Reading
    SHUKRANI Kwanza kabisa shukurani za dhati anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ameniwezesha kufanya kazi hii kwa afya njema na nguvu nyingi. Pili, namshukuru kwa dhati mwalimu na msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt Elias Manandi Songoyi aliyekubali au aliyejitolea kuwa mlezi na msimamizi wa kazi hii akielewa shida mbalimbali za mwanafunzi/mtoto... Continue Reading
    SHUKURANI Awali ya yote, ninamshukuru Mungu wangu mwenyezi kwa kunipa nguvu na kuniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakika, Mungu ni mwema sana maishani mwangu. Pili, ninawashukuru wasimamizi na walimu wangu, Dkt. Rafiki Y. Sebonde na Prof. John G. Kiango, kwa mwongozo, jitihada na ushauri wao makini vilivyoniwezesha kukamilisha tasnifu hii.... Continue Reading
    Abstract This Thesis entitled ―Philosophy in the Novels written by Shaaban Robert and Euphrase Kezilahabi in the Context of Bantu Epistemology‖ investigates the existence of Bantu Epistemolgy in the novels of the aforementioned literary writers basing on the following components: witchcraft, rituals, belief on soul and death, the heart, God,... Continue Reading
    SHUKURANI  Kwanza, namshukuru sana Mungu kwa ajili ya ukuu na uweza wake ambao nimeuona katika kipindi chote cha maisha yangu; hususani katika kipindi cha kuandika tasnifu hii, ambapo nimekutana na changamoto nyingi, lakini kwa upendo wa Mungu niliweza kusonga mbele. Pili, kwa namna ya pekee namshukuru sana msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla.... Continue Reading
    Call Us Get this work