Utanzia Katika Kasida Za Kiswahili: Mifano Kutoka Mkoa Wa Mjini Magharibi Unguja

  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0012
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 118 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 211
  • Report This work

For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

SHUKRANI

Kwanza kabisa shukurani za dhati anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ameniwezesha kufanya kazi hii kwa afya njema na nguvu nyingi. Pili, namshukuru kwa dhati mwalimu na msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt Elias Manandi Songoyi aliyekubali au aliyejitolea kuwa mlezi na msimamizi wa kazi hii akielewa shida mbalimbali za mwanafunzi/mtoto wake kwa kunielekeza, kuniongoza, kunikosoa na kunishauri hadi kukamilika vyema tasnifu hii. Shukurani nyingine ziwaendee walimu wangu walionisomesha katika kipindi chote cha muda wa masomo, toka darasa la kwanza hadi Shahada ya Uzamili. Shukurani nyingine zimfikie Dkt Sebonde kwa kunifunza mbinu za somo hili la utafiti. Vile vile, nawashukuru walimu wangu wote wa madrasa ambao wamenifungua macho na kunionesha njia njema ya kumfuata Allah (s.w.t). Mwalimu Mwajuma Ame na Mwalimu Rajab J. Yakuti ( Mungu amlaze mahali pema peponi ) na nawashukuru sana na malipo yenu yako kwa Allah. Nawashukuru pia wazee na vijana wote niliowahoji na kukubali kuhojiwa nami pamoja na kunipa taarifa nilizozihitaji. Pia naishukuru madrasa yangu ya Arabiu Shamsiya kwa kunipa ushirikiano mkubwa katika kuwahoji. Kwani wahenga wamesema mwenda tezi na omo hurejea ngamani, nami nimerudi kwetu ili kutaka msaada. Halikadhalika nawashukuru wanafunzi wote wa kozi ya Shahada ya Uzamili katika fasihi ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dodoma wa mwaka wa 2014/2016 kwa ushirikiano wao katika masuala mbalimbali pamoja na suala zima la utafiti.

Utanzia Katika Kasida Za Kiswahili: Mifano Kutoka Mkoa Wa Mjini Magharibi Unguja
For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

Share This
  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0012
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 118 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 211

500
Leave a comment...

    Related Works

    SHUKRANI Kwanza kabisa shukurani za dhati anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ameniwezesha kufanya kazi hii kwa afya njema na nguvu nyingi. Pili, namshukuru kwa dhati mwalimu na msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt Elias Manandi Songoyi aliyekubali au aliyejitolea kuwa mlezi na msimamizi wa kazi hii akielewa shida mbalimbali za mwanafunzi/mtoto... Continue Reading
    SHUKURANI  Kwanza ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima wa afya katika kipindi chote cha masomo yangu hadi kuikamilisha tasinifu hii katika muda uliopangwa. Pia ninawashukuru wale wote walioshirikiana na mimi mwanzo hadi mwisho wa tasinifu hii. Kwa uchache ninapenda kuwapa shukurani zangu za dhati kwa kuwataja hawa wafuatao; Kwanza,... Continue Reading
    SHUKRANI Shukrani za awali ziende kwa Mwenyezi Mungu, muumba wa viumbe vyote, kwa kunisaidia kwa uwezo wake mkubwa kunilinda na kunipa afya katika kipindi chote cha kufanya utafiti huu mpaka ukakamilika. Shukrani nyingine ni kwa msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt. Muhammed Seif Khatib kwa kuniongoza, kunishauri na kunipa changamoto mbalimbali za... Continue Reading
    SHUKURANI Shukurani zangu ninawapa wafuatao nikiwataja kwa makundi: Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kunijaalia afya njema, maarifa, busara na hekima ambavyo nilivitumia kama nyenzo kubwa tangu kuanza hadi kumalizika kwa utafiti huu. Pili, kwa mama na baba yangu, kwa malezi yao bora waliyonipatia. Pia mume wangu, Bw. Salum Mohamed Gumukah, na... Continue Reading
    SHUKRANI Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili.... Continue Reading
    SHUKURANI Awali ya yote, ninamshukuru Mungu wangu mwenyezi kwa kunipa nguvu na kuniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakika, Mungu ni mwema sana maishani mwangu. Pili, ninawashukuru wasimamizi na walimu wangu, Dkt. Rafiki Y. Sebonde na Prof. John G. Kiango, kwa mwongozo, jitihada na ushauri wao makini vilivyoniwezesha kukamilisha tasnifu hii.... Continue Reading
    SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji... Continue Reading
    SHUKURANI  Kwanza, namshukuru sana Mungu kwa ajili ya ukuu na uweza wake ambao nimeuona katika kipindi chote cha maisha yangu; hususani katika kipindi cha kuandika tasnifu hii, ambapo nimekutana na changamoto nyingi, lakini kwa upendo wa Mungu niliweza kusonga mbele. Pili, kwa namna ya pekee namshukuru sana msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla.... Continue Reading
    SHUKRANI Kwanza kabisa ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye amenijalia uhai, afya ya roho na mwili na ufahamu wa kuniwezesha kufanya kazi hii. Kuna michango na miongozo ya watu mbalimbali walioniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Ninawashukuru wote walionisaidia mpaka kufikia hapa. Ningependa niwataje wote, lakini nitawataja... Continue Reading
    SHUKRANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia nguvu, uzima, afya njema na kuniwezesha kuifikisha kazi hii katika hatua hii. Pili, shukrani zangu za pekee zimwendee msimamizi wangu, Dkt. Muhammed Seif Khatib, ambaye amekuwa nami bega kwa bega katika kunishauri, kunikosoa, kutoa mwongozo na mapendekezo ili kuhakikisha kazi... Continue Reading
    Call Us Get this work