Wahusika Wa Kimimi Katika Riwaya Ya Kiswahili: Mifano Kutoka Dunia Yao Na Nyuso Za Mwanamke

  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0011
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 112 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 222
  • Report This work

For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

SHUKRANI

Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili. Nasema kwa unyenyekevu, Mungu ndiye muweza wa kila kitu.

Wahusika Wa Kimimi Katika Riwaya Ya Kiswahili: Mifano Kutoka Dunia Yao Na Nyuso Za Mwanamke
For more Info, call us on
+234 8130 686 500
or
+234 8093 423 853

Share This
  • Type: Project
  • Department: African Studies
  • Project ID: AFS0011
  • Access Fee: ₦5,000 ($14)
  • Pages: 112 Pages
  • Format: Microsoft Word
  • Views: 222

500
Leave a comment...

    Related Works

    SHUKRANI Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili.... Continue Reading
    SHUKURANI Shukurani zangu ninawapa wafuatao nikiwataja kwa makundi: Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kunijaalia afya njema, maarifa, busara na hekima ambavyo nilivitumia kama nyenzo kubwa tangu kuanza hadi kumalizika kwa utafiti huu. Pili, kwa mama na baba yangu, kwa malezi yao bora waliyonipatia. Pia mume wangu, Bw. Salum Mohamed Gumukah, na... Continue Reading
    SHUKURANI  Kwanza ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima wa afya katika kipindi chote cha masomo yangu hadi kuikamilisha tasinifu hii katika muda uliopangwa. Pia ninawashukuru wale wote walioshirikiana na mimi mwanzo hadi mwisho wa tasinifu hii. Kwa uchache ninapenda kuwapa shukurani zangu za dhati kwa kuwataja hawa wafuatao; Kwanza,... Continue Reading
    SHUKRANI Kwanza kabisa shukurani za dhati anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ameniwezesha kufanya kazi hii kwa afya njema na nguvu nyingi. Pili, namshukuru kwa dhati mwalimu na msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt Elias Manandi Songoyi aliyekubali au aliyejitolea kuwa mlezi na msimamizi wa kazi hii akielewa shida mbalimbali za mwanafunzi/mtoto... Continue Reading
    SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji... Continue Reading
    SHUKURANI Awali ya yote, ninamshukuru Mungu wangu mwenyezi kwa kunipa nguvu na kuniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakika, Mungu ni mwema sana maishani mwangu. Pili, ninawashukuru wasimamizi na walimu wangu, Dkt. Rafiki Y. Sebonde na Prof. John G. Kiango, kwa mwongozo, jitihada na ushauri wao makini vilivyoniwezesha kukamilisha tasnifu hii.... Continue Reading
    SHUKURANI  Kwanza, namshukuru sana Mungu kwa ajili ya ukuu na uweza wake ambao nimeuona katika kipindi chote cha maisha yangu; hususani katika kipindi cha kuandika tasnifu hii, ambapo nimekutana na changamoto nyingi, lakini kwa upendo wa Mungu niliweza kusonga mbele. Pili, kwa namna ya pekee namshukuru sana msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla.... Continue Reading
    SHUKRANI Shukrani za awali ziende kwa Mwenyezi Mungu, muumba wa viumbe vyote, kwa kunisaidia kwa uwezo wake mkubwa kunilinda na kunipa afya katika kipindi chote cha kufanya utafiti huu mpaka ukakamilika. Shukrani nyingine ni kwa msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt. Muhammed Seif Khatib kwa kuniongoza, kunishauri na kunipa changamoto mbalimbali za... Continue Reading
    SHUKRANI Kwanza kabisa ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye amenijalia uhai, afya ya roho na mwili na ufahamu wa kuniwezesha kufanya kazi hii. Kuna michango na miongozo ya watu mbalimbali walioniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Ninawashukuru wote walionisaidia mpaka kufikia hapa. Ningependa niwataje wote, lakini nitawataja... Continue Reading
    SHUKURANI  Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa taasisi na watu mbalimbali waliotoa ushauri na michango yao ya hali na mali iliyowezesha kukamilisha kazi hii. Awali ya yote, napenda kutoa shukurani zangu za dhati kumshukuru Mwenyezi-Mungu (sw) kwa kunijaalia afya njema katika kipindi chote cha masomo yangu. Afya ambayo iliniwezesha... Continue Reading
    Call Us Get this work